Ijumaa, Julai 05, 2024

map of busega small

Wilaya ya Busega  ni mojawap kati ya wilaya tano (5) za mkoa wa Simiyu nchini Tanzania, Afrika Masahriki. Makao makuu ya wilaya yako kwenye mji mdogo Nyashimo. Wilaya hii imepakana kaskazini na ziwa Victoria na wilaya ya Bunda, kwa upande wa mashariki imepakana na wilaya ya Bariadi, na kwa kusini imepakanna na wilaya mama ya Magu.

Tanzania Simiyu location map
Simiyu region location map (Source: Wikipedia)

Tanzania Busega district location map
Location map of Busega district within Simiyu region (Source: Wikipedia)

Source: http://en.wikipedia.org/wiki/Simiyu_Region

BUDECO katika Elimu

BUDECO yachangia ujenzi wa madarasa Sh mil 34.7
icon siku ya makabidhiano ya mchango1

Chaki kutoka Maswa, Simiyu

WhatsApp group

Chat na wanaBUDECO papo kwa papo.
BUDECO chat
Tuma taarifa hizi zikiwa pamoja na namba yako ya simu na anuani ya email:
1.Majina yako matatu, 2.Kijiji unachotoka (kata na tarafa), 3. Kwa sasa unaishi wapi, 4. Shuguli unazofanya au unazopanga kufanya na makampuni/mashirika uliyofanyia/unayofanyia kazi (ukipenda lakini)

Tuma kwenye namba hii 0713-982855 na baadaye ukumbini kwa kujitambulisha.

°F | °C
Error! Unable to Find Specified Location!