Ijumaa, Julai 05, 2024

Lengo Kuu ni kuimarisha mshikamano na umoja miongoni mwa Wanachama wake, na Wanachama wengine wa vyama vya kijamii nchini. Aidha BUDECO itaimarisha uhusiano mzuri baina ya Jamii ya Wanabusega waishio Busega na nje ya Busega, pamoja na wafadhili mbalimbali wa Asasi hii.

BUDECO more pics from inauguration day13

BUDECO katika Elimu

BUDECO yachangia ujenzi wa madarasa Sh mil 34.7
icon siku ya makabidhiano ya mchango1

Chaki kutoka Maswa, Simiyu

WhatsApp group

Chat na wanaBUDECO papo kwa papo.
BUDECO chat
Tuma taarifa hizi zikiwa pamoja na namba yako ya simu na anuani ya email:
1.Majina yako matatu, 2.Kijiji unachotoka (kata na tarafa), 3. Kwa sasa unaishi wapi, 4. Shuguli unazofanya au unazopanga kufanya na makampuni/mashirika uliyofanyia/unayofanyia kazi (ukipenda lakini)

Tuma kwenye namba hii 0713-982855 na baadaye ukumbini kwa kujitambulisha.

°F | °C
Error! Unable to Find Specified Location!